Week Hot newz

GOtv Cecafa Senior Challenge:Ethiopia hold Kenya

David Owino 




Hosts Kenya were held to a goalless draw against Ethiopia in an exciting group A encounter played at Nyayo Stadium in the second game of the GOtv Cecafa Senior Challenge on Wednesday.
The well attended game started on a low note with both sides playing cautiously with the visitors who just arrived a day before keeping the hosts at bay Thok James and Salhadin Bargecho impressing.
The second half was a see saw affair with both coaches ringing changes that did not materialize into goals. Jacob Keli came on for David Gateri while Mulinge Ndeto replaced Musa Mohamed.
Ethiopia coach Sewnet Bishaw was impressed with his team’s performance.
"I am very happy with the one point since this team has been together for only four days before we travelled to Kenya. This is a development side and we have nothing to lose but we will play our next opponents seriously while hoping for the best."
His counterpart James Nandwa who was standing in for Adel Amrouche who went Awol shared the same sentiments.
"It was a tough game but we are happy with the single point as Ethiopia are a very good side .We are optimistic we will give our best in the upcoming matches," Nandwa told supersport.com.
The result means Zanzibar are on top of group A with three points followed by Kenya and Ethiopia who have a point each while South Sudan are last with no point after losing to Zanzibar.

GOtv Cecafa Senior Challenge:Zanzibar edge out South Sudan






Zanzibar Heroes opened their account in the 2013 GOtv Cecafa Senior Challenge with a 2-1 win over hardfighting South Sudan in an exciting match played at the Nyayo Stadium in Nairobi.
Suleiman Kassim Suleiman broke the deadlock in the fifth minute capitalizing from a school boy blunder by South Sudan keeper Awad Goma Genaro who dilly dallied with the ball and was then stripped off it by Kassim who then rolled it into the net.
However the goal did not dampen the spirit of the Sudanese who fought gallantly forcing Zanzibar to defend with Bengal based James Joseph Mogga being in the thick of things with his darting runs in the Zanzibar defence.
Abdiyum Saleh Ahmed added the second goal for Zanzibar in the 67th minute just five minutes after coming in turning the heat on South Sudan before as he scored past a sprawled Genaro in South Sudan's goal.
South Sudan scored their consolation goal in the 74th minute when substitute Fabiano Elias Lako collected a pass from hardworking Mogga before finishing off clinically.
The win ensured Zanzibar went to the top of group A with three points

Tanzanite vs Afrika Kusini sasa Uwanja wa Taifa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeihamisha mechi ya kuwania tiketi ya fainali za Kombe la Dunia kwa wanawake wenye umri chini ya miaka 20 kati ya Tanzania ‘Tanzanite’ na Afrika Kusini ‘Amajita’ kutoka Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza hadi Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Tanzanite inajiandaa kuikaribisha Amajita Desemba 7 katika mechi ya kwanza ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazopigwa mwakani nchini Canada, baada ya kuwang’oa Msumbiji kwa jumla ya mabao 15-1.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Saad Kawemba kwa niaba ya ofisa habari, shirikisho lake limeamua kufanya mabadiliko ya uwanja kutokana na CCM Kirumba kutokuwa na ubora stahili.

Kawemba alisema licha ya jitihada zilizofanyika katika kuufanyia marekebisho, bado jaribio la kuwahi muda sahihi kuelekea mechi hiyo haliwezi kuzaa matunda, kutokana na ubovu wa vyumba vya kuvalia na miundombinu.

“Tunaposema vyumba vya kuvalia tunajumuisha vyoo, bafu na sehemu ya kupumzikia wachezaji. Hali katika vyumba vya Kirumba ni mbaya ikiwamo ukosefu wa umeme na aina ya matangazo yasiyohitajika kwa mechi rasmi kutokana na sababu za kiudhamini,” alisema Kawemba.

Aliwataka wakazi wa Kanda ya Ziwa kuwa wavumilivu kutokana na uamuzi huo wa TFF, huku akiwataka kuvuta subira kwani safari ya Tanzanite ni ndefu na kama itafanikiwa kukitoa kikosi cha Amajita, wanaweza kurejea huko kwa mechi zijazo.

“Kama itafanikiwa kuitoa Afrika Kusini, Tanzanite itaingia raundi ya tatu na ya mwisho, wakati huo naamini maboresho Kirumba yatakuwa yamefikia pazuri, hivyo tunaweza kurejea Mwanza kwa mechi ya nyumbani,” alisisitiza Kawemba.

Amajita inayonolewa na Maqsood Chenia, ilitinga raundi ya pili baada ya kuwang’oa vijana wenzao wa Botswana kwa mabao 7-2.

Timu mbili kutoka Afrika zitafuzu kwa fainali za Dunia, zitakazofanyika mwakani kuanzia Agosti 5 hadi 24.

Tuungane hapa Nairobi kesho kushuhudia Kombe la Dunia


HApa Nairobi katika ukumbi wa KICC kutakuwa na kupiga picha na kombe la Dunia kuanzia asubuhi ya Tarehe  28/11/2013 wote mnakaribiswa hapa viwanja vya KICC.

Coming Up



Cecafa Tusker Cup: Zanzibar v South Sudan
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 12:30

Cecafa Tusker Cup: Kenya v Ethiopia
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 15:00

Absa Premiership: Kaizer Chiefs v Polokwane City
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 18:30

Absa Premiership: Maritzburg Utd v Orlando Pirates
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 18:30

UCL: CSKA Moscow v Bayern Munich
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 18:55

UCL: Bayer Leverkusen v Man Utd
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 21:00

UCL: Juventus v FC Copenhagen
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 21:40

UCL: Man City v Plzen
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 21:40

UCL: Real Madrid v Galatasaray
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 21:40

UCL: PSG v Olympiacos
Wednesday, 27 Nov 2013 @ 21:45

Cavaliers v Heat
Thursday, 28 Nov 2013 @ 02:15

Cecafa Tusker Cup: Burundi v Somalia
Thursday, 28 Nov 2013 @ 12:30

Papa Francisko: Atoa waraka wake wa kitume wa kwanza!

Baba Mtakatifu Franciisko Jumanne hii ametoa waraka wake wa Kwanza wa Kitume chini ya Jina Furaha ya Injili “Evangelii Gaudium". Waraka unao zungumzia zaidi juu ya Mada ya utangazaji wa Injili katika Dunia ya nyakati hizi. Waraka huu wenye kurasa 224, unaonyesha muono wa Papa, katika utume wa Kanisa, ambalo milango yake inapaswa kuwa wazi nyakati zote na kwa watu wote.

Katika waraka huu,Papa amezungumzia mada mbalimbali juu ya Uinjilishaji mpya, masuala ya kijamii kama haki na amani, familia na heshima katika viumbe, imani na siasa, uekumeni , majadiliano ya kidini na wajibu wa wanawake na walei katika Kanisa.
Katika maelezo yake, Papa amefanya nukuu kutoka vyanzo vingine vya maelezo, ikiwemo michango ya kazi za Sinodi iliyofanyika Vatican tangu tarehe 7-28Octoba 2012 , juu ya mada:Uinjilishaji Mpya kwa ajili ya kuieneza Imani.

Katika waraka hu, Papa Francisko, anawahimiza Waamini wote kujihusisha na utendaji mpya wa kufikisha habari ya upendo wa Kristu kwa watu wote, huku wakiwa wamejawa na moyo wa furaha, katika kuionyesha njia ya hija ya kanisa katika miaka ijayo. Huu ni wito kwa wabatizwa wote kuupeleka upendo wa Kristu, kwa watu wengine, kama utendaji wa kudumu na ushindi mkuu katika dunia ya leo , ambayo imemezwa na ubinafsi, kukata tamaa na mahangaiko ya kidunia.

Papa anawaalika wasomaji wote kungudua upya asili ya Injili , kupata nafasi mpya na njia mpya katika ubinufu bila ya kumpoteza Yesu katika katika utendaji wote wa kila siku. Katika hili Papa anasema kuna haja ya kuwa na uongofu wa kichungaji na kimisionari , ambao hauwezi kuacha kujali hali zilivyo, na katika kuleta upya kwenye mifumo ya kanisa, ili kuwezesha kanisa, kuwa la kimisonari zaidi. Papa pia anafikiria uongofu wa utawala katika kiti cha Papa , kwa ajili ya kuwezessha kazi zake kuwa na uaminifu zaidi katika maana ambayo Yesu Kritu alipenda iwe hivyo katika hitaji la kuifikisha habari njema kwa mataifa yote. Anatumaini Mabaraza ya Maaskofu yanaweza kutoa mchango thabiti katika ufanikishaji wa moyo wa umoja na mshikamano wa waamini wote wa Kristu, katika kuitangaza Injili, jambo ambalo anasema bado halijatimizwa kikamilifu.

Pia anasema, kuna umuhimu wa kupeleka mamlaka majimboni. Na kwamba juhudi za mabadiliko haya,Kanisa lisiwe na woga, hasa katika kuchunguza upya baadhi ya kanuni, ambazo hazina mahusiano ya moja kwa moja na kiini cha Imani na Injili, hata kama yana mzizi wa historia ya siku nyingi katika kanisa.

Na akitazama nje zaidi ya Kanisa , Papa ameutazama mfumo wa sasa wa kiuchumi akisema kimsingi ndani mwake hakuna haki,ila ndani mwake mmefichika makucha ya soko la dhuluma, ambamo mna uroho wa fedha ,wenye kueneza rushwa na ukwepaji wa kulipa kodi. Pia Papa anakemea mashambulizi dhidi ya uhuru wa dini na mateso mpya yanayo elekezwa zaidi dhidi ya Wakristo. Na Papa pia anakemea ulimwengushaji wa maadili wenye kuzalisha hisia zinazo wachanganya watu na kuwaweka katika za mashaka, hofu na purukushani. Pia waraka unataja umuhimu wa ndoa na mahusiano ya familia imara.

Papa hakuwasahau watu maskini akisema, umaskini mbaya zaidi ni umaskini wa kiroho. Hata hivyo akahimiza hoja ya kuwajali pia wale wanaoteseka kimwili kutokana na kusahaulika pembezoni mwa jamii kw sabau mbalimbali, ikiwemo ukosefu wa makazi, na hasa unao sababishwa na uwepo wa machafuko ya mpigano yenye kuzalisha wakimbizi au utendaji wa kiuchumi unaowaondoa watu wenyeji katika makazi yao. Pia ameyataja makundi ya wazee , wahamiaji, waathirika wa biashara na watoto wasiozaliwa bado, ambao hutupwa mitaani.

Hati mpya ya Papa pia inalenga katika mandhari ya kukuza amani, haki na udugu , kwa njia ya majadiliano na mazungumzo ya kuheshimiana watu wote iwe kijamii au kitamaduni na kidini. Pia amehimiza mahusiano mazuri na wakristo wengine, na Wayahudi na Waislamu wote, kama njia muhimu ya kukuza amani na kupambana na ubabe wa kutumia dini kushambulia wngine au kunyima uhuru wa dhamiri kwa wengine.

Amewataka Wakristo kujiepusha na ujenzi wa chuki za ujumla hasa kuhusu Uislamu ,Katika hili, Papa amehimiza Wakristu kuendelea kuwa wanyenyekevu, hasa na nchi za Kiislamu, wakati wanapodai uhuru kamili wa kidini kwa Wakristo.
Waraka umekamilika na sala kwa Mama Bikira Maria , Mama wa Uinjilishaji , akiutazama mfano wa Maria katika kazi za Kanisa za Uinjilishaji, kwamba, tunapomtafakari Maria , kwa mara nyingine hutuwezesha kuamini katika ufunuo asilia wa asili ya upendo na huruma.

TFF: Yawazuia Kaseja, Dilunga kusajili Yanga

Wakati dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufungwa Desemba 15, mwaka huu, Shirikisho la Soka nchini(TFF), limezikumbusha klabu zote kuheshimu kanuni na kuzingatia muda uliowekwa.

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Boniface Wambura alisema jana kuwa kitendo cha klabu kupeleka mchezaji kwa mkopo katika klabu nyingine hakutoi nafasi ya kusajili mchezaji mpya.

Tamko hilo la TFF lina maana kwamba, Yanga ambayo kwa sasa tayari imeingia mikataba ya kuwasajili kipa Juma Kaseja aliyekuwa huru na kiungo Hassan Dilunga kutoka Ruvu Shooting, haitakubaliwa kumsajili mmoja wa wachezaji hao kwani tayari ilikuwa na wachezaji 29.

"Kama klabu ilisajili wachezaji 30 maana yake ni kuwa, haina nafasi ya kuongeza wachezaji. Kwa upande wa wachezaji wa kigeni (foreign players), tunakumbusha kuwa, kuanzia msimu ujao 2014/2015 watakuwa watatu tu badala ya watano wa sasa," alisema Wambura.

Alisema mpaka jana jioni hakuna klabu hata moja iliyokuwa imeshaingia kwenye mfumo wa TMS kuomba uhamisho wa mchezaji wa kigeni na itakapofika Desemba 15, mwaka huu mfumo huo wa TMS utafungwa.

Poulsen: Kili itaiua Chipolopolo

Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Kim Poulsen, amesema timu yake mesto wa yosso na wazoefu, iko tayari kuikabili Zambia (Chipolopolo) katika mechi yake ya kwanza ya kuwania ubingwa wa mashindano ya Kombe la Chalenji itakayofanyika kesho kwenye Uwanja wa Nyayo jijini hapa.

Akizungumza jana, Poulsen alisema wachezaji wake wote wako tayari na wamejiandaa kufanya vizuri katika mechi hiyo ya kwanza ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kusonga mbele.

Poulsen alisema mechi dhidi ya Chipolopolo inatarajiwa kuwa ngumu kwa sababu wachezaji wengi wa Zambia ni wauzoefu tofauti na kikosi chake ambacho mwaka huu ni mseto kutokana na kujumuisha yosso wengi aliowaita kwa mara ya kwanza, lakini anaamini watafanya vizuri.

"Tuko tayari, tumejiandaa kwa mashindano na tunaamini tutaanza vyema mechi yetu," alisema Kocha huyo raia wa Denmark.

Aliongeza kuwa, katika kundi lao ambalo linajumuisha timu ya Somalia na Burundi, hakuna mechi nyepesi kwa sababu kila moja imekuja kushindana na si kushiriki.

 Naye mshambuliaji mahiri wa timu hiyo, Mrisho Ngasa, aliliambia blogu hili kuwa wamekuja Nairobi kushindana na watajituma ili kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania Bara.

Ngassa alisema anajua Watanzania wamewatuma kuiwakilisha vyema na hicho ndicho wamepanga kukitekeleza.

"Tunajua jukumu letu na tunamuomba Mungu tufanye vizuri, tuombeeni ili tufanye kile ambacho kocha ametuelekeza," alisema Ngasa.

Kilimanjaro Stars iliyoko Kundi B, ilitua jijini hapa juzi usiku na itacheza mechi yake ya pili Desemba Mosi dhidi ya Somalia huku ikimaliza hatua ya makundi kwa kuivaa Burundi hapo Desemba 4, mwaka huu.

Uganda ndiyo mabingwa watetezi wa mashindano hayo yanayofanyika kila mwaka kwa kushirikisha nchi wanachama wa Cecafa na timu alikwa.

UEFA Champions League – RESULTS


Arsenal 2-0 Marseille
Ajax Amsterdam 2-1 Barcelona
Borussia Dortmund 3-1 Napoli
Basel 1-0 Chelsea
Celtic 0-3 AC Milan
Steaua Bucuresti 0-0 Schalke,
FC Porto 1-1 Austria Vienna

Cecafa Senior Challange kuanza kesho


Mashindano ya Cecafa Senior Challange yanaanza kesho jumatano huku timu 12 zikishiriki kwenye mashindano hayo yanayo husisha timu kutoka kanda ya za Afrika Mashariki na Kati.
Makocha wa timu zote wamewaita kambini wachezaji wao bora wakiwemo wale wanaocheza ugenini ili kuongeza nafasi zao za kushinda kombe hilo.
Hela pia zitatolewa kama zawadi zimepangiwa ambapo kitita cha dola 100,000 zitagawanywa kati ya washindi watatu bora na hii ni baada ya kampuni ya Gotv kutoa udhamini wa dola 125,000 za kimarekani.
Mechi zitachezwa katika miji ya Nairobi, Kisumu, Nairobi na Machakos huku serikali za wilaya zikitoa udhamini na kushawishi kumbi ambapo mechi hiyo itaandaliwa- kwa kurejelea mashindano ya vilabu bingwa ya mwaka huu yalioandaliwa katika miji ya darfur na kusini mwa kordofan nchini sudan.
Mashindano ya cecafa yamesalia kuwa chanzo cha furaha katika soka haswa kwa mashabiki wa eneo la afrika magharibi na kati haswa ikizingatiwa kuwa timu kutoka eneo hili hazijapata nafasi ya kushiriki katika mashindano ya kimataifa kutokana na viwango duni vya soka nchini.
Ukosefu wa wadhamini umesababisha kubadilishwa kwa jina la mashindano ya mechi za cecafa mara kwa mara kwa heshma za wadhamini.
Tanzania wamewaita washambulizi wa TP mazembe Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata ili kuonyesha uzito wa mashindano ya mwaka huu.
Mashindano ya klabu bingwa yameitwa baada ya rais wa Rwanda Paul Kagame huku Senior Challenge yakipewa jina la bwenyenye wa Ethiopia Sheikh Mohammed al Amoud kati ya 2005 na 2006.
Mashindano ya mwaka huu yatakayoisha tarehe 5 Disemba yanajumuisha timu 11 za kanda na Zambia ambao ni wageni.
Kundi A ni Kenya, Ethiopia, Sudan kusini na Zanzibar,
kundi B ni Tanzania, Zambia, Burundi na Somalia,
kundi C linahusisha mabingwa watetezi Uganda, Rwanda, Sudan na Eritrea.
Ni timu 4 pekee zimeweza kufuzu kwa kombe la Afrika katika mda wa miaka 10 huku 1 pekee ikishiriki hatua ya makundi.
Rwanda na Kenya zilifika Tunisia 2004, Sudan ilishiriki fainali Ghana 2008 na 2012 huko Equitorial Guinea huku Ethiopia ikishiriki Afrika Kusini 2013.
Cecafa ilianzishwa mwaka 1926 wakati huo ikijulikana kama Kombe la Gossage wa utawala wa ukoloni Kenya, Uganda,Tanganyika na Zanzibar, lakini mwaka wa 1967 ilibadilishwa jina na kuwa senior challenge cup na imekua ikiandaliwa mara kwa mara lakini imeshindwa kuhamasisha ushindani jambo ambalo limechochea mjadala kulifanya shindano hili kuwa la kuendeleza timu za vijana.

Blatter defends Qatar



Fifa President Sepp Blatter defended under-fire 2022 World Cup hosts Qatar on Tuesday and said criticism of the tiny Gulf country from European media was unfair.
Qatar has been beset by problems, with Amnesty International criticising the treatment of migrant workers in the country, while the unresolved issue of whether to host the tournament in the European summer or winter has caused more angst for Blatter and the hosts.
International players' union FIFPro has also been critical and urged Blatter to act in the case of a French player who says he is being prevented from leaving Qatar over a contract dispute with his club.
"It is not fair when the international media, and especially European media, are taking up the focus of an Arab country here in this, Asia, by attacking, attacking, criticising this country. We are defending it," Blatter told delegates at the Asian Football Confederation (AFC) Awards ceremony in Kuala Lumpur.
"We are defending it. We have taken a decision to play a World Cup in the Arabic world and we have taken the decision to play in Qatar and we will go and play this... in 2022 in Qatar."

WEEKLY | FIXTURES

All times CAT (SA, GMT+2)
26 November 2013
Absa Premiership
19:30SuperSport UnitedvAjax Cape TownLucas Moripe Stadium
Champions League
19:00Zenit St PetersburgvAtltico de MadridPetrovski Stadium
21:45Borussia DortmundvNapoliSignal Iduna Park
21:45CelticvMilanCeltic Park
21:45AjaxvBarcelonaAmsterdam Arena
21:45ArsenalvMarseilleEmirates Stadium
21:45BaselvChelseaSt Jakob-Park
21:45FC PortovFK Austria WienEstadio do Dragao
21:45Steaua BucharestvFC Schalke 04Stadionul Ghencea
English Football League Championship
21:45Charlton AthleticvDoncaster RoversThe Valley
27 November 2013
Absa Premiership
19:30Maritzburg UtdvOrlando PiratesHarry Gwala Stadium
19:30Kaizer ChiefsvPolokwane CityFNB Stadium
19:30AmaZuluvPlatinum StarsPrincess Magogo Stadium
Champions League
19:00CSKA MoscowvFC Bayern MnchenArena Khimki
21:45Shakhtar DonetskvReal SociedadDonbass Arena
21:45Real MadridvGalatasaraySantiagoBernabu
21:45JuventusvFC KbenhavnJuventus Stadium
21:45Manchester CityvViktoria PlzenEtihad Stadium
21:45Bayer 04 LeverkusenvManchester UnitedBayArena
21:45Paris Saint GermainvOlympiakosParc des Princes
21:45RSC AnderlechtvBenficaConstant Vanden Stock
Ghana Premier League 2014
19:00Hearts of LionsvChelseaKpando
19:00LibertyvBechemCarl Reindorf
19:00Ashanti GoldvHasaacasLen Clay
19:00King FaisalvInter AlliesBaba Yara
19:00AmidausvKotokoTema
19:00MedeamavEdubiaseT&A Park
19:00DwarfsvHearts of OakRobert Mensah
19:00AduanavWA All StarsAgyemang
National First Division
15:00Thanda Royal Zulu FCvFC Cape TownUmhlathuze Sports Complex
15:30Vasco Da GamavJomo CosmosParow Park
15:30Black LeopardsvChippa UnitedOld Peter Mokaba Stadium
15:30Blackburn RoversvRoses UnitedGelvandale Stadium
15:30Witbank SpursvBaroka FCPuma Rugby Stadium
15:30Sivutsa StarsvMilano United AFCKabokweni Stadium
15:30Maluti FET CollegevUnited FCCharles Mopeli Stadium
19:30SantosvAfrican WarriorsAthlone Stadium
28 November 2013
UEFA Europa League
17:00Shakhter KaragandyvPAOK SalonikaAstana Arena
19:00Anzhi MakhachkalavSheriff TiraspolSaturn Stadium
19:00Kuban KrasnodarvFC St GallenKuban Stadium
19:00Rubin KazanvNK MariborCentralniy Stadium
20:00TrabzonsporvApollon LimassolHuseyin Avni Aker
20:00HNK RijekavVitria GuimaresKantrida
20:00TromsvTottenham HotspurAlfheim Stadion
20:00KRC GenkvDynamo KyivCristal Arena
20:00Legia WarsawvLazioPolish Army Stadium
20:00SevillavEstoril-PraiaRamnSnchezPizjun
20:00SK Rapid WienvFC ThunErnst Happel Stadium
20:00Slovan LiberecvSport-Club FreiburgU Nisy
20:00LyonvReal BetisStade de Gerland
20:00AZvMaccabi HaifaAFAS Stadion
22:05Apoel NicosiavMaccabi Tel AvivNeo GSP Stadium
22:05BordeauxvEintracht FrankfurtStade Jacques Chaban-Delmas
22:05Swansea CityvValencia CFLiberty Stadium
22:05FC DniprovPandurii Targu-JiuDnipro Arena
22:05Ludogorets RazgradvPSVVasil Levski National Stadium
22:05Paos de FerreiravFiorentinaEstdio D. Alfonso Henriques
22:05Wigan AthleticvSV Zulte WaregemDW Stadium
22:05ElfsborgvFC Red Bull SalzburgBors Arena
22:05Esbjerg fBvStandard LigeBlue Water Arena
22:05FC Chornomorets OdesavDinamo ZagrebChornomorets Stadium
29 November 2013
English Football League Championship
21:45Nottingham ForestvReadingCity Ground
French Ligue 1
21:30MarseillevMontpellierStade Vlodrome
21:30MarseillevMontpellierStade Velodrome
German Bundesliga
21:30VfL WolfsburgvHamburger SVVolkswagen Arena
Portuguese Primeira Liga
22:15Sporting BragavOlhanenseEstadio Municipal de Braga
Spanish La Liga
21:00GetafevLevanteColiseumAlfonsoPrez
21:30VillarrealvMlagaElMadrigal
Spanish Primera Liga
21:30VillarrealvMalagaEl Madrigal
30 November 2013
Absa Premiership
15:30Free State StarsvKaizer ChiefsCharles Mopeli Stadium
15:30University of PretoriavAmaZuluTuks Stadium
18:00Golden ArrowsvPlatinum StarsKing Zwelithini Stadium
20:15Orlando PiratesvBloem CelticOrlando Stadium
CAF Confederation Cup
15:30TP Mazembe (DRC)vCS Sfaxien (Tunisia)Lubumbashi
English Barclays Premier League
17:00Aston VillavSunderlandVilla Park
17:00Cardiff CityvArsenalCardiff City Stadium
17:00EvertonvStoke CityGoodison Park
17:00Norwich CityvCrystal PalaceCarrow Road
17:00West Ham UnitedvFulhamBoleyn Ground
19:30Newcastle UnitedvWest Bromwich AlbionSt. James' Park
English Football League Championship
14:15BournemouthvBrighton and Hove AlbionGoldsands Stadium
17:00Doncaster RoversvQueens Park RangersThe Keepmoat Stadium
17:00Huddersfield TownvBurnleyGalpharm Stadium
17:00Charlton AthleticvIpswich TownThe Valley
17:00Leicester CityvMillwallKing Power Stadium
17:00MiddlesbroughvBolton WanderersRiverside Stadium
17:00WatfordvYeovil TownVicarage Road
17:00BarnsleyvBirmingham CityOakwell
17:00Blackburn RoversvLeeds UnitedEwoodPark
17:00BlackpoolvSheffield WednesdayBloomfieldRoad
French Ligue 1
18:00MonacovRennesStade Louis II
18:00MonacovRennesStade Louis II
21:00LorientvNiceStade du Moustoir
21:00ToulousevSochauxStadium Municipal
21:00ValenciennesvLilleStade du Hainaut
21:00St EtiennevReimsStade Geoffroy-Guichard
21:00GuingampvNantesStade Municipal de Roudourou
German Bundesliga
16:30FC Bayern MnchenvEintracht BraunschweigAllianz Arena
16:30Hertha BSCvFC AugsburgOlympiastadion
16:301. FSV Mainz 05vBorussia DortmundCoface Arena
16:301899 HoffenheimvSV Werder BremenWIRSOL Rhein-Neckar-Arena
16:30Bayer 04 Leverkusenv1. FC NrnbergBayArena
19:30FC Schalke 04vVfB StuttgartVELTINS-Arena
Italian Serie A
19:00ParmavBolognaEnnio Tardini
21:45GenoavTorinoLuigi Ferraris
National First Division
15:30Baroka FCvSantosOld Peter Mokaba Stadium
15:30Sivutsa StarsvFC Cape TownKamaqukeza Stadium
18:00Jomo CosmosvThanda Royal Zulu FCMakhulong Stadium
19:30Chippa UnitedvWitbank SpursPhillipi Stadium
Portuguese Primeira Liga
22:15Acadmica de CoimbravFC PortoCidade de Coimbra
Spanish La Liga
17:00ElchevAtltico de MadridMartnezValero
19:00Celta de VigovAlmeraBalados
21:00Real MadridvReal ValladolidSantiagoBernabu
23:00EspanyolvReal SociedadCornell-ElPrat

KUMBUKUMBU:Mwaka mmoja bila Sharo Milionea ooh mamaa!

Ilikua ni November tarehe 26 mwaka 2012 majira ya saA 2 usiku ndipo ziliposambaa taarifa za kifo cha muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ Husein Ramadhan Mkieti
 ‘SHARO MILIONEA’. 
Leo tarehe 26 november 2013 ni kumbukumbu ya mwaka mmoja bila Sharo.
Photo: Ilikua ni mwezi november tarehe 26 mwaka 2012 majira ya sa 2 usiku ndipo ziliposambaa taarifa za kifo cha muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ Husein Ramadhan Mkieti ‘SHARO MILIONEA’. Leo tarehe 26 november 2013 ni kumbukumbu ya MWAKA MMOJA.

Diamond Platinum atangaza nafasi za kazi

Hitmaker wa 'My Number One' Naseeb Abdul aka Diamond Platinum kupitia 'Wasafi Classic Baby' ametangaza nafasi za kazi mbalimbali,graphic designer,Cameraman,editor.

Somo zaidi huu ujumbe wake aliyoupost kwenye instagram. 

Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...? NOTE:- 1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa.... 2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai fanya... (kushoot na Kuedit) 3)Quality ni kuanzia 1080 na kuendelea... 4)Age, kuanzia Miaka 20 hadi 35.. 5)M'bunifu, Smart na uwe tayari kusafiri popote saa yoyote... Kama unaamini unasifa hizo wasiliana nasi sasa kwa email hii diamondplatnumz@gmail.com ama kwa namba ya simu +255755700400.... Kumbuka, uwe unaisha Dar-es-Salaam...!

Rais Putin akutana na Papa Francisko mjini Vatican

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu jioni tarehe 25 Novemba 2013 amekutana na kuzungumza na Rais Vladimir Putin wa Russia. Baadaye Rais Putin na ujumbe wake walikutana na kuzungumza na Askofu mkuu Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican aliyeambatana na Askofu mkuu Dominique Mamberti, katibu mkuu wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa mjini Vatican.

Katika mazungumzo yao, viongozi hawa wawili wameelezea kuridhishwa kwao na uhusiano uliopo baina ya nchi hizi mbili na baadaye, walijadili mambo yanayogusa mafao ya pande hizi mbili, hususan maisha ya Waamini wa Kanisa Katoliki nchini Russia na mchango wa Wakristo katika ustawi na maendeleo ya Russia. Wamejadili pia hali ngumu inayowakabili Wakristo sehemu mbali mbali za dunia; umuhimu na kusimama kidete kulinda na kutetea haki msingi za binadamu; uhai sanjari na tunu msingi za maisha ya kifamilia.

Viongozi hawa kwa namna ya pekee kabisa wamejadili kuhusu mchakato wa amani Mashariki ya Kati na hali tete nchini Syria. Rais Putin amemshukuru Baba Mtakatifu Francisko kwa barua kwa wakuu wa G20 wakati wa mkutano wao uliofanyika mjini Pitsburg. Wamekubaliana kimsingi kusitisha vita, kuendelea kutoa huduma na misaada ya kiutu kwa waathirika pamoja na kukazia majadiliano yanayolenga upatikanaji wa suluhu ya kudumu nchini Syria. Majadiliano haya yawahusishe wadau mbali mbali ili amani ya kweli iweze kupatikana.


TANZIA:Askofu John Simalenga afariki dunia!


Kanisa la Anglikani Tanzania limepata pigo la kufiwa na Askofu John Simalenga (60) wa Dayosisi South West Tanganyika iliyopo Njombe, Mkoani Iringa. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma Katibu mkuu wa Kanisa Anglikani Tanzania Canoni Dk. Dickson Chilongani alisema kuwa Kanisa limepata pigo kubwa kutokana na kifo cha Askofu Simalenga ambaye aliugua kwa muda mfupi.

Alieleza kuwa kifo cha Askofu Simalenga kimetokea Novemba, 24, 20013 muda mfupi baada ya kuruhusiwa kutoakatika hospitaliya ya kanisa hilo iliyopo Njombe. Alisema kuwa askofu alianza kuumwa alikwenda hospitali kwa ajili ya kupima afya yake na alipofika hospitali ilibainika kuwa alikuwa na maralia pamoja na sukari kupanda hadi kufikia 30 huku shinikizo la moyo kuwa juu.

Canon Dk. Chilongani alisema kuwa baada ya madaktari kubaini kwamba Askofu anasumbuliwa na matatizo hayo alipewa dawa na kuruhusiwa kwenda nyumbani wakitegemea kuwa dawa hizo zingemsaidia kutuliza magonjwa ambayo alibainika kuwa nayo. Alisema kinyume na matarajio ya madaktari, Askofu Simalenga baada ya kurudi nyumbani hali ilibadilika ghafla na kufariki dunia majira ya saa 11 alfajiri.

Marehemu Askofu John Simalenga alizaliwa tarehe 30 Novemba 1953 na kufariki dunia tarehe 24 Novemba 2013. Alisema Kanisa Anglikani linaendelea na taratibu za maandali ya utaratibu wa mazishi ya mwili wa askofu huyo ikiwa ni pamoja na kuendelea kutoa taarifa kwa wachungaji pamoja na viongozi mbalimbali wa dini na Serikali.

Rage awarejesha Kibadeni, Julio Simba


KIbadeni na Julio 



MWENYEKITI wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, ameendelea kuonyesha makucha yake baada ya kuamua kuwarudisha kazini makocha Abdallah ‘King’ Kibadeni na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambao walitoswa na Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo.
Akizungumza na wanachama wa klabu hiyo juzi jijini Dar es Salaam, Rage aliwaambia kuwa Kibadeni bado ni kocha wao mkuu halali anayesaidiwa na Julio.
Alisema uamuzi wa kumuachisha kazi kocha huyo, ulitolewa kinyume cha taratibu, hivyo haoni sababu za msingi zinazomnyima haki Kibadeni kuwa kocha wa Simba.
“Kocha wa Simba bado ni Kibadeni kwa mujibu wa mikataba yetu na hatuna mpango wa kuleta kocha mwingine,” alisema Rage huku akiingia ndani ya gari iliyokuwa ikimsubiri nje ya jengo la ofisi za makao makuu ya Simba.
Rage alibainisha kuwa amewarudisha Kibadeni na Julio ambao alidai wataendelea na kazi kama kawaida bila kupingwa na mtu.

Novemba 18, Kamati ya Utendaji ya Simba chini ya Kaimu Makamu Mwenyekiti, Joseph Itang’are, ilimsimamisha Rage kwa madai ya kukosa uadilifu na kupoteza imani naye na kuwatosa Kibadeni na Julio baada ya kupitia ripoti ya Kamati ya Ufundi.
Hata hivyo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limemwagiza Rage aitishe mkutano mkuu wa dharura ndani ya siku 14 ili kujadili mtafaruku huo ulioibuka ndani ya klabu hiyo.

Yondani ameongeza mkataba miaka miwili Yanga


Beki wa Kati wa Yanga na timu ya taifa (Taifa Stars), Kelvin Yondani, ameongeza mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo ya Jangwani kabla ya kukwea pipa na kuelekea Nairobi, Kenya kushiriki michuano ya Kombe la Chalenji ya kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati.

Akizungumza  muda mfupi baada ya hafla ya kuiaga Taifa Stars jijini Dar es Salaam jana, Yondani alisema kwa kifupi: "Nilisaini mkataba mpya juzi (Jumamosi)".

Juni mwakani, Yondani alikuwa anamaliza mkataba wake wa awali wa miaka miwili na Yanga uliozua 'balaa' akitokea kwa watani wao wa jadi, Simba.

Kwa mkataba huo mpya unaoanza Juni mwakani, Yondani, Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu uliopita, ataitumikia Yanga hadi Juni 2016.
Hata hivyo, alipotafutwa na mwandishi kuthibitisha taarifa za mkataba mpya wa nyota huyo, Ofisa Habari wa Yanga, Baraka Kizuguto alisema bado hajapewa taarifa na uongozi kuhusu suala hilo.

Simu ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili na Mashindano ya klabu hiyo, Abdallah Bin Kleb iliita bila kupokelewa jana alipotafutwa kuzungumzia usajili huo.

Nahodha mpya Stars

Katika hatua nyingine, Kocha wa Kilimanjaro Stars, Mdenmark Kim Poulsen jana alimteua Yondani kuwa nahodha wa timu hiyo baada ya kutemwa kwa aliyekuwa nahodha, kipa Juma Kaseja.

Pouslen alimtambulisha Yondan kuwa nahodha mpya wa timu hiyo, anayechukua nafasi ya Kaseja aliyeachwa kwenye kikosi hicho kilichoondoka nchini jana.

Mashabiki 40,000 wampa sapoti Ronaldo

Habari kubwa leo inamusu Ronaldo ni kwamba mchezaji huyo anastahili tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia `Ballon d`Or`, Kutokana na hilo, mashabiki 40,000 wa Real Madrid wamejipanga kumpa sapoti Ronaldo leo kwenye mechi ya Ligi ya Mabigwa Ulaya wakati timu hiyo itakapo menyana na Galatasaray kwenye uwanja Santiago Bernabeu wakiandaa tukio la kufikisha ujumbe kwa Shirikisho  la Kimataifa la Soka (Fifa) kwamba mreno huyo ndie bora kwa sasa.

Mitaa ya karibia na uwanja wa Santiago Bernabeu mashabiki wako kwa wingi wametengeneza vinyago vyenye sura ya Ronaldo na kuvivaa na pia kuna mabango makubwa yenye yakisisitiza fowadi huyo ndie bora.

Hali yatulia Jimbo la Turkana, Kenya

Jamii za Pokot na Turkana
Polisi nchini Kenya wamesema kua hali ya utulivu imerejea katika kijiji kilichokuwa kimezingirwa na wavamizi kutoka jamii hasimu katika jimbo la Turkana Kaskazini Magharibi mwa Kenya.
Washambulizi walivamia kijiji cha Klooigon kilichokuwa na karibui wakaazi 900 ambao walizuia kuondoka.
Wavamizi kutoka jamii ya Pokot walizingira kijiji cha Lorokon, nyumbani kwa jamii ya waturkana.
Waliteka vituo vitatu vya polisi na kuweka vizuizi barabarani ili kuzuia vikosi vya usalama kuingia katika kijiji hicho huku wakikabiliana vikali na polisi waliofika kudhibiti hali, Jumamosi na Jumapili.